Slider


Sports

Life & style

Comments

Fashion

Technology

Blogroll

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Vivamus leo ante, consectetur sit amet vulputate vel, dapibus sit amet lectus. Etiam varius dui eget lorem elementum eget mattis sapien interdum. In hac habitasse platea dictumst.

WELL CONVENIENT CARE CLINIC (WCCC)

KARIBU WCCC
Ni mfumo uliojikita katika utoaji wa Huduma za kiafya kwa njia ya mtandao, mitandao ya kijamii,(WhatsApp,Facebook, Instagram, Ujumbe mfupi/sms)
Huduma zipi zinazotolewa ?
  • Ushauri wa uhusuo maswala ya afya kwa kila mtu popote alipo kwa njia ya mtandao kwa kuchangia gharama kidogo.
Kwa namna gani  basi ?
  • Kwa kutumia simu yako ya kiganjani tunapata Maelezo/ushauri wa kiafya,huduma ya kwanza kwa kutumia simu yako ya kiganjani pia utaunganishwa na group la afya na kupata muda wa kuuliza maswali yako na majibu utayapata
Yafuatayo  ni baadhi ya mambo tunayojishughurisha nayo.
  • Huduma ya kwanza na ya haraka kuokoa maisha/uhai
  • Afya ya Uzazi.
  • Afya ya mama na mtoto.
  • Njia salama ya kujifungua na  sehemu salama ya kujifungulia kwa mama mjamzito.
  • Matatizo ya kukosa hedhi,kupitiliza hedhi,kupata maumivu wakati wa hedhi.
  • Njia salama za Uzazi wa mpango.
  • Njia za dharura za kuzuia utungaji wa Mimba /kupata Mimba baada ya kujamiana bila kutumia Mipira(kondomu).
  • Magonjwa ya zinaa.

      Contacts/Mawasiliano.
              0684127127/0743127127
                       WCCC Afya bora kwa maisha bora.

Post a Comment

Translate