Je unasumbuliwa na Matatizo ya ngozi?
Je wewe ni Dada(binti),kaka,mama ama baba na unachangamoto ya Matatizo ya ngozi yako kama?
✓ Ngozi kuwasha
✓ Chunusi
✓ Ngozi kuharibika
✓ Ngozi kutoa harufu mbaya
✓ Ngozi kutokwa vipele
✓ Ngozi kutokwa na vibarango
✓ Mapunye
✓ Ngozi kutoka mashilingi
✓ Mba
✓ Kutokwa na mapele,kuwasha na weusi baada ya kunyoa n.k
Sasa usiogope tatizo lako linatatulika/Tibika pasipo kutumia gharama kubwa Kama unavyozani.
Hatakama umetumia kila aina ya mikorogo tatizo lako linaisha.
Tuna sabuni Iliyotengenezwa na viambata vya asili vifatavyo:-
• Asali
• Michaichai
• Mboga za zabibu
• Mizeituni
• mafuta ya michikichi
Hakuna kiambata sumu(kemikali) yoyote.
Faida ya sabuni hii ukitofautisha na sabuni zingine :-
• Hunyonya uchafu na kutoa nje ya ngozi.
Uchafu na mafuta yanayokuwa yamerundikana kwenye ngozi huziba vitundu vya hewa kwenye ngozi hivyo Husababisha mtu kutokwa na vipele pamoja na Chunusi hivyo unapotumia sabuhi hii hutoa uchafu wote nje kwa njia ya jasho na kuiacha ngozi salama na yenye afya
• Husaidia kutibu Vidonda kwenye ngozi. Ndani ya sabuni Kama nilivyoeleza hapo awali Kuna asali, asali hii husaidia kutibu tatizo la Vidonda kwenye ngozi hasa kwa wenye Vidonda vya muda mrefu bila kupona. Mfano wa Vidonda ni Kama Vidonda vya kuungua na moto,kujikata, kuumia na kwa watu wenye Matatizo ya kisukari.
• Huzibua njia za jasho/vimelio vya ngozi. Hivyo husaidia kuviacha vitundu tundu vya ngozi kufanya kazi vizuri na ngozi Kupumua vizuri.
• Husaidia kuondoa seli za ngozi zilizokufa. Hivyo kuiacha ngozi huru,nyororo na laini.
• Husaidia kuondoa Vivimbe/vikovu kwenye ngozi. Kuna watu wengi wanavibaka,vivimbe,au makovu ambayo yametokea baada ya kuuumia,au kufanyiwa upasuaji au oparesheni husaidia kuondoa.
• Pia husaidia kuondoa mikunjo mikunjo usoni. Ama kwa namana nyingine ni anti aging kwa watu wenye uso au ngozi iliyokunjamana husaidia kuondoa mikunjo na kuonekana umezeeka.
• Hutumika pia Kama dawa ya meno. Kwa wale wenye shida ya jino au meno kuwa na mabaka husaidia kuondoa mabaka,na Matatizo mengine ya meno.
• Hutumika pia kwa watoto wadogo kulinda dhidi ya Matatizo ya ngozi kwa watoto wadogo.
• Hutumika pia Kama kinga na Tiba kwa wanaume na wanawake baada ya kunyoa kwa wenye Matatizo ya kuota vipele.
Bila kujali umbali gani upo tunakufikia na kukuondolea changamoto yako ya Matatizo ya ngozi.
Unaweza wasiliana nasi Sasa kwa njia zifatazo.
Piga/sms 06841271271-0743127127
WhatsApp 0684127127
Instagram: Well Clinic
FB: well Clinic
Blog: https://wellclinics.blogspot.com/?m=1
Email: wellclinictz@gmail.com
Karibu WELL CLINIC KWA HUDUMA BORA
Post a Comment