Slider


Sports

Life & style

Comments

Fashion

Technology

Blogroll

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Vivamus leo ante, consectetur sit amet vulputate vel, dapibus sit amet lectus. Etiam varius dui eget lorem elementum eget mattis sapien interdum. In hac habitasse platea dictumst.

LUPU (VITANZI) Ni moja ya njia ya uzazi wa mpango inayotumiwa na wanawake wengi kwa lengo la kuzuia kupata mimba au kupanga uzazi
Kifaa  hiki kimetengenezwa kwa kutumia kopa kina kama vijitawi kwa mbele

Kifaa hiki kimetengenezwa na kuwekewa homoni ya Aina ya progestin ambayo inafanana  sana na homoni aliyonayo mwanamke.
LUPU kina mkinga mwanamke asipate mimba kwa miaka 12.

Kinafanyaje kazi sasa

• Kina mkinga asipate mimba kwa muda wa miaka 12 kwa.
• Kutoruhusu mbegu za kiume kutofika kwenye mirija ya uzazi
• Huzuia urutubishaji wa yai la kike  kama zikifanikiwa kuingia kwenye mji wa mimba
• Huzuia mbegu kuingia kwenye mji wa mimba kwenda kurutubisha yai la kike

Faida ya njia hii

• Inazui mimba zisizo na mpangilio
• Ni salama kwa mtumiaji
• Haisumbui kutoa na kuweka kwa mtumiaji
• Haichukui muda mrefu kurudi kwenye Hali ya kawaida na kupata mtoto. Wachache ndo huchelewa.
• Haisumbui kwatai wa tendo la ndoa
• Ni njia ya muda mrefu.

Maudhi ya njia hii ni kama

• Hedhi kubadilika
• Maumivu ya Tumbo
• Damu Kutoka wakati wa kiwekewa au kutotoka
• Kukosa hedhi
• Mwanamke hushauriwa kurudi kituo cha afya ka maudhi yataendelea kwa muda mrefu.

Mtu yupi  anashauriwa kutumia njia hii

• Anatumia  mtu yeyote
• Awe ananyonyesha au ametoka kujifungua anaruhusiwa kutumia.
• Baada ya mimba kuharibika
•  Awe ameolewa au hajaolewa
• Kazaa au bado kupata mtoto
•  Mwenye maambukizi ya virusi vya Ukimwi anatumia
• Mtu mwenye Shindikizo kubwa la damu.

WATU WACHACHE HUWEZA KUPATA SHIDA HIZI JAPO SIO WOTE  BAADA YA KUTUMIA NJIA HII.

• Mji wa mimba kuvimba
• Mimba kutunga nje ya kizazi
•  Kuchukua muda mrefu kupata ujauzito

Post a Comment

  1. Naitwa Mariam niliweka lupu wakat wa kujifungua lkn napata shida sna maumivu ya mgongo pia tumbo kuuma sana kina miaka mitatu kila nikienda kuangalia hakionenakan

    ReplyDelete
  2. Je kitanzi kinaweza sababisha kuongezeka mwili?

    ReplyDelete

Translate