Slider


Sports

Life & style

Comments

Fashion

Technology

Blogroll

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Vivamus leo ante, consectetur sit amet vulputate vel, dapibus sit amet lectus. Etiam varius dui eget lorem elementum eget mattis sapien interdum. In hac habitasse platea dictumst.

KARIBU TENA AFYA KIGANJANI MWAKO


Maumivu ya tumbo kwa mama mjamzito kwa kipindi kizima cha ujauzito (miezi 9)
Maumivu ya tumbo kwa mjamzito yaweza kuwa
    Ya kawaida au
    Ya kawa ishara ya ugonjwa,hatari kwa mjamzito
Lazima kufahamu kwamba ujauzito umegawanyika katika vipindi  vitatu ndani ya miezi 9 ya ujauzito
     Miezi 3 ya mwanzo kama mhula wa kwanza (1-3 miezi) ni miezi ambayo ni muhimu sana kwa maisha ya kiumbe  kilichotumboni .
Ni kipindi ambacho ndipo kila kiungo cha mtoto kilichopo tumboni kinaanza  kutengenezwa kama vile
   Moyo,
   Mapafu,
   Ubongo,
   Ini  na n.k
    Miezi 6 ya ujauzito (kuanzia miezi 3- miezi 6)
    Miezi 9 ( kuanzia miezi 6 - 9)
Sasa kila kipindi katika ujauzito maumivu ya tumbo huwa yanaashiria hali fulani 
   Aina ya maumivu ambayo mama mjamzito anaweza yapata ni maumivu ya tumbo  kuvuta (cramping pain)
  Vitu gani vinaweza kusababisha tumbo kuuma


   Kitu kinacho weza kusababisha maumivu haya ya tumbo ni sababu ya misuli iliyopo kwenye mji wa Mimba mkutanuka (kuvuta) na kupelekea mama kupata maumivu maumivu Haya hutokea kwa muda tu na baada ya muda kupotea
Baadhi ya sababu zingine zinazopelekea mama mjamzito kupata maumivu ni kama vile!!!
   Kukosa choo kwa muda mrefu (constipation)
   Chafya
   Kikohozi
   Kubadilisha/ kuheuka upande (change position) 
   Tumbo kujaa gasi 
   Kujamiana

Maumivu ya Aina hii yanatokea Mara nyingi kuanzia miezi 4 ya ujauzito na kuendelea miezi mingine ya ujauzito
Maumivu Haya yanatokea na baada ya muda mfupi yanaisha
Note (NB)
Maumivu yakizidi kuanzia 3 na kuendelea yanaashiria tatizo kubwa la kiafya kwa mjamzito

Kama maumivu yako yamezidi siku 4 (NNE) au zaidi ni ishara ya tatizo la kiafya ambalo  ni hatari kwa mama na kiumbe  kilichopo tumboni

 Huduma hii utatakiwa kiwa kulipia kiasi cha Tshs. 2,000/=tu 
      Lipa kwa namba 0768489884.
Kwa maada zaidi /ufafanuzi pamoja na

    Matibabu salama kwa mama na 
    Mtoto aliyemo tumboni

Andika MAONI yako hapo chini nasi tutakujibu pia Unaweza kutupata WhatsApp kwa namba 0684127127.  

Post a Comment

  1. Mke wangu ana mimba ya miezi 2 tumbo lina msumbua sana tatizo nn doctar

    ReplyDelete

Translate