Madhara ya kisukari kwa Mhanga wa kisukari
Kama ilivyo kwenye Matatizo mengine ya kiafya kwamba, tatizo linapokuwa limekaa muda mrefu licha ya kuwa linatibiwa au kudhibitiwa kwa dawa hufikia sehemu linaanza kuuathiri mwiliKisukari nacho bila kujari aina gani ya kisukari huweza kuleta madhara mwilini.
Baadhi ya Madhara ambayo husabishwa na kisukari ni pamoja na:-
• Huathiri mfumo wa Uzazi kwa jinsia zote, Mwanaume huweza kusababisha kupunguza uwezo kushiriki tendo la ndoa, Hupunguza hamu ya tendo la ndoa na kupelekea kupata tatizo la nguvu za kiume. Upande wa wanawake Husababisha kupunguza na kupelekea kupoteza hamu/msisimko wa kushiriki tendo la ndoa.
• Huathiri mfumo wa fahamu hasa ubongo na kupelekea kupata tatizo la stroke/kiharusi.
• Wagonjwa wengi pia huangukia kwenye Matatizo ya macho. Wanapata shida ya Kuona vitu vizuri/Kuona ukungu hatakama ni mchana, tatizo linapokuwa kubwa Zaidi hupelekea kupata Matatizo ya Kuona kabisa na kupata upofu.
• Matatizo ya miguu. Wagonjwa wa kisukari pia hupata changamoto ya miguu kuuma,na kushindwa kutembea pia hupata Vidonda ndugu (Vidonda sugu)
• Pia watu wengi wenye kisukari hupata shida ya figo
• Watu wengi hupoteza afya zao kwa kuwa na afya dhaifu na Uzito Kupungua hii hupelekea kupata magonjwa au Matatizo ya kiafya mara kwa mara.
• Madhara mengine ambayo yanaweza kuwakumba watu wenye kisukari ni pamoja na Matatizo ya tumbo,moyo,mifupa,Degedege,kupoteza fahamu n.k.
Kisukari Sasa kinatibika
Karibu tukuhudumie uondokane na tatizo hili
Wasiliana nasi kwa
Piga/sms - 0743127127 | 0684127127
WhatsApp - 0684127127
Instagram - well clinic
FB - well Clinic
Blog- wellclinic.glospot.com
Post a Comment