Slider


Sports

Life & style

Comments

Fashion

Technology

Blogroll

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Vivamus leo ante, consectetur sit amet vulputate vel, dapibus sit amet lectus. Etiam varius dui eget lorem elementum eget mattis sapien interdum. In hac habitasse platea dictumst.

Postinor 2 (P2 Pills) Ni moja ya vidonge vinavyo Tumiwa na wasichana pamoja na wa mama wengi (wanawake)  kama njia ya Uzazi wa mpango.


Faida ya p2
• kuzuia mimba
• Hutumika kama njia ya uzazi wa mpango wa dharula
• Haiwazi kusababisha mimba Kutoka na haiwezi adhiri mimba
• Hutumika kama njia zingine zimeshindikana ila sio Mara kwa Mara.
• Hutumika kwa mtu aliyebakwa kwa kuzuia mimba kama atawahi mapema kutumia.
• IInauwezo wa kuzuia  mimba hadi asilimia 85 kama itatumiaka kwa muda mwafaka.
Ufanvyaji kazi wa p2
• Hufanya kazi ndani ya masaa 72 baada ya tendo la ndoa lisotumia kinga kufanyika kwa kuzuia mimba.
Hasara
Haikukingi na Maambukizi ya magonjwa ya ngono. Kama
• Ukimwi
• Homa ya Ini
• Kisonono
• kaswende
• Mpunye
• Malenge lenge
• n.k
Haitumiki kama njia ya uzazi wa mpango kama njia zingine.
Maudhi madogo madogo
• Kichwa kuuma
• Mwili kuishiwa nguvu
• Tumbo Kuuma
• Kuharisha
• Kichefuchefu na kutapika
• Matiti kuuma na kuvimba
Watu gani au Muda gani huruhusiwi kutumia dawa hizi.
• Kama una kisukari
• kama una Matatizo ya moyo
• kama kuna dawa za kifua kikuu, Degedege, fangasi,
• Kama una tatizo la damu kuganda
• Mjamzito
• kama una saratani ya matiti.
• Kupata mzio
• Kizunguzungu
Note.
~• Kama una tatizo moja wapo kati ya hayo niliyotaja hapo juu Tafadhali ongea na daktari ili aone namna nyingine ya kukusaidia.
Usichanganye dawa hii na dawa zingine za uzazi wa mpango.
Kwa ushauri wasiliana nasi
Well organization &  Wmedsclinic kwa namba 06841271271/0743127127.
Ahsante.

Post a Comment

  1. Je dawa za P2 zinazuia mimba kwa mda gani baada ya kuzitumia???

    ReplyDelete
  2. P2 zinazuia mimba kipindi tu anapozitumia ndani ya masaa 72 toka kufanya tendo la ndoa Ni dawa kama dawa zingine za Uzazi wa mpango

    ReplyDelete
  3. Ukinywa p2 na ukaendelea kufanya mapenzi siku za hatari he inazuia mimba,na inaanza kufanya kazi muda gani baada ya kuimeza

    ReplyDelete
  4. Ukinywa p2 na ukaendelea kufanya mapenzi siku za hatari he inazuia mimba,na inaanza kufanya kazi muda gani baada ya kuimeza

    ReplyDelete

Translate