Slider


Sports

Life & style

Comments

Fashion

Technology

Blogroll

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Vivamus leo ante, consectetur sit amet vulputate vel, dapibus sit amet lectus. Etiam varius dui eget lorem elementum eget mattis sapien interdum. In hac habitasse platea dictumst.

NI MUDA GANI MTOTO ANATAKIWA KUNYONYA ZIWA LA MAMA NA KUNA FAIDA GANI , HASARA GANI ASIPOPATA MAZIWA HAYO.

Sehemu kubwa ya lishe ya mtoto anapozaliwa  inategemea sana maziwa ya mama mzazi.

Mtoro anatakiwa kunyonyeshwa kwa muda wa miezi sita bila kuchanganyishiwa maziwa wala chakula kingine chochote.

Maziwa ya mama yana Virutubisho vifatavyo
• kabohaidreti - Husaidia mwili kupata nguvu
• Protini - Husaidia kujenga mwili 
• Mafuta - Hupatia mwili joto
• Madini na vitamini - Husaidia kulinda mwili 
• Maji na virutubisho vingine vingi muhimu



Maziwa ya mama yana Aina zote za virutubisho muhimu kwa ukuaji na afya ya mtoto.

Kama lishe ya mtoto ni duni pia ukuaji wa mtoto hupungua na kuwa na afya mbovu, Lishe mbovu au duni Husababisha kinga ya mwili kushuka na kuruhusu milango ya magonjwa kuingia na kushambulia mwili.


Magonjwa Kama Utapiamlo, kwashakoo, marasimasi, Magonjwa ya mfumo wa hewa, n.k  hushambulia kirahisi.


Mara nyingi chanzo kikubwa Cha tatizo huanzia kwa mama, Mama Kama hatengenezi maziwa ya kutosha hupelekea mtoto kukosa maziwa ya kutosha na kupelekea kupata afya duni.

Wengi huwaza kuwaza kuwa kuwaongezea maziwa mbadala au chakula ingali umri wa o hauruhusu na kupelekea kupata Matatizo kadha wa kadha ya kiafya. Mfano maziwa ya ngombe, Maziwa ya soya, uji, chai, vyakula hivi havina mlingano wa virutubisho vinavyohitajika kwa mtoto na mara nyingi hupelekea afya kudhorota na ukuaji kutoridhisha.

Maziwa ya mama ndio pekee yanayohitajika kwa lishe ya mtoto kwa miezi sita ya mwanzo.

MAMBO YANAYOSABABISHA MAM KUKOSA MAZIWA YA KUTOSHA.

• Lishe duni kwa mama Husababisha mama kukosa maziwa ya kutosha, Mama anatakiwa kupata lishe Bora ili aweze kutengeneza maziwa ya kutosha kumnyonyesha mtoto.

• Mama kukosa muda wa kutosha kumnyonyesha mtoto, Kadri mtoto anavyo vuta au kunyonya ndivyo anavyosisimua utengenezaji wa maziwa ya kutosha.



Tuna Virutubisho bora vinavyoweza kukusaidia kutengeneza maziwa yatkayosaidia kumpatia mtoto maziwa ya kutosha.

TUPIGIE SASA KWA NAMBA ZIFATAZO:

       • 📞(+255)684127127 - (+255)743127127
       • WHATSAPP - (+255)684127127


Post a Comment

Translate