NJIA ZA KUZUIA U.T.I KUJIRUDIA MARA KWA MARA.
• Kunywa maji mengi kila siku lita 2 na kwendelea (Glasi 6 na kwendelea)• Jisafishe kuelekea nyuma na sio mbele baada ya kujisaidia haja kubwa.
• Safisha (choo) sehemu ya kujisaidia haja ndogo au kubwa kabla ya kujisaidia pia tumia maji safi kujisafisha.
• Tibu tatizo kwa kumaliza dozi Kama ulivyoshauriwa na mtaalamu wa afya.
•
TUPIGIE SASA KWA NAMBA KWA USHAURI ZAIDI NA MATIBABU
📞(+255)684127127 | (+255)743127127
WHATSAPP - 0684127127. Au
bofya http://api.whatsapp.com/send?phone=255684127127
E-MAIL - wellclinictz@gmail.com
Post a Comment