MVURUGIKO WA HOMONI | HOMONAL IM BALANCE
MVURUGIKO WA HOMONI Ni Mvurugiko/kutobalansi kwa homoni mwilini zinazohusika na uzazi wa Mwanamke .
Dalili za Mvurugiko wa Homoni:-
• Kutokwa na Damu nyingi kwa muda mrefu
• Kukosa hedhi
• Kuingia hedhi kwa Muda mrefu kuliko kawaida
• Kushindwa kubeba ujauzito
• Hedhi kubadilika balika
• Kusikia Maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi.
Kuna dawa yoyote itakayo fanya mwanamke kurudi kama zaman akawana (homon balance) ambayo ipo sawa ma kama ipo beigani
ReplyDeleteKuna msaada anaoweza kupata mtu mwenye tatizo la hormonal imbalance na kwa kuwa ni tatizo linaloweza kumfanya mwanamke kukosa mtoto je ushauri ni upi au kuna dawa za kumrudisha katika halii ya kawaida tena na akapona?
ReplyDelete