TEZI DUME
Hutokea baada ya tezi ya prosteti kuvimba au kuongezeka ukubwa wake kusiko kawaida na kusababisha Kupungua au kusinyaa kwa urethra na kusababisha mkojo Kushindwa kupita kutoka nje.
- Hakuna chanzo sahihi Cha tatizo la Tezi dume
Mambo ambayo yanaweza kuwa sababu kutokea tezi dume
- Umri mkubwa >40yrs
- Mawe kwenye kibofu Cha mkojo
- Maambukizi ya njia ya haja ndogo (U.T.I)
- Matatizo ya figo kufanya kazi vizuri
- Kitambo/Uzito kupita kiasi
- Mwili kukosa mazoezi
Dalili za tezi Dume
- Kutokumalizamkojo
- Kupata Ugumu wakati wa Kukojoa
- Kushindwa Kuzuia Hamu Ya Kukojoa
- Wakatiwausikukukojoamarakwamara
- Kuishiwa Nguvu Za Kiume
- Mkojo kutoka bila nguvu
- Epuka matumizi ya kafeini
- Epuka/ acha kutumia pombe
- Kula mlo kamili
- Epuka kunywa kinywaji chochote usiku /kabla ya kwenda kulala.
- Panga ratiba /Kuwa na muda maalum wa kukojoa (Kifanye kibofu Cha mkojo kujenga mazoea na ratiba ya kukojoa) walau kila baada ya masaa 4 hadi 6
- Epuka mazingira ya baridi
Unaweza kuwasiliana nasi kwa maelezo na masada zaidi wa MATIBABU 0684127127 - 0743127127
Post a Comment