Slider


Sports

Life & style

Comments

Fashion

Technology

Blogroll

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Vivamus leo ante, consectetur sit amet vulputate vel, dapibus sit amet lectus. Etiam varius dui eget lorem elementum eget mattis sapien interdum. In hac habitasse platea dictumst.

NJIA YA UZAZI WA MPANGO YA SINDANO (INJECTABLE)

Hii ni moja ya njia za uzazi wa mpango ambapo mtu anatumia kwa kuchoma sindano.

Kuna sindano zinazochomwa kwa muda wa miaka Mwili (2) na zingine  ni miaka mitatu (3)

Hupatikana kwa njia ya sindano na huchomwa kwenye bega mapaja au sehemu yenye nyama
Kutegemea na utaalam wa mtoaji wa hiyo njia.

Sindano hizi zina homoni Aina progestin ambayo inafanana  na homoni zilizopo mwilini mwa mwanamke inayoitwa progesterone

Sindano hizi hazina homoni Aina ya estrogen

Zinafanyaje kazi

• Zina zuia utolewaji wa yai Kutoka kwenye kwenye mayai yanakotengenezwa.
• Huwa inaenda kusinyaza (kusinyaa) na kuufanya ute ute unaofanya kazi ya kusafirisha mbegu za mwanamme kusafiri kwenda kurutubisha yai la kike pia kusinyaa kwa  ukuta wa mji wa mimba ili kutoruhusu mazingira ya kurahisisha mbegu  wanamme kupita kwenda kurutubisha yai la like.

Watu wengi walio wahi tumia  njia hii wamesema kwamba maudhi madogo madogo Haya yameshawahi kuwa tokea

kupata damu nyingi kupita kawaida
• kukosa hedhi kwa muda mrefu
• Maumivu ya tumbo

Maudhi mengine ni kama
kichwa kuuma
• kizunguzungu
• Uzito kuongezeka na wengine kupingua
• Kupungua kwa hamu ya Tendo la ndoa
Mood inabadilika

Shida ambayo mama anaipata baada ya kuacha kutumia sindano.

Kuchukua muda mrefu Kuja kupata ujauzito
• Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa
• Kupata matatizo kwenye uzazi (ugumba) hii sio wote wanapata Hili tatizo ni badhii ya watu.
• Miguu kuuma.

Kipindi gani mwanamke hashauriwi kutumia njia hii

• Kama hana mtoto hata mmoja
• Kama hajaolewa
• Mjamzito
• kama mpango wa kupata mtoto hivi karibuni
• Chini ya miaka 18 na zaidi ya miaka 40
• Baada ya kutoa mimba au mtoto kufia tumboni
• Baada ya kujifua mpaka afikishe walau miezi 6 baada ya kujifungua
• Mwanamke anayetumia dawa za VIRUSI VYA UKIMWI
• Kama unavuta sigari.

Ni kipindi gani sasa mwanamke anashauriwa kutumia njia hii.

• Miezi 6 baada ya kujifungua kama ananyonyesha mtoto
• Walau Uwe ushapata mtoto hata walau wawili
• Miaka walau kati ya (20-35)
• Mwanamke kama hanyonyeshi
• Kama huna lengo la kupata mtoto hivi karibuni

Post a Comment

Translate