FISTULA YA UZAZI .
Fistula ni Tundu lisilo la kawaida kina chojitokeza kati ya kibofu cha mkojo (haja ndogo) na haja kubwa au kati ya haja kubwa na uke wa mwanamke ambaye amejifungua kwa shida na kukosa msaada wa kitalaam.
CHANZO CHA TATIZO.
Fistula humpata mama mjamzito anaposhikwa na uchungu kwa muda mrefu bila kupata msaada wa kitalaam.
Fistula haitokani na kulongwa, kutembea na wwnaume wengi, mikosi au laana.
DALILI ZA FISTULA.
Dalili kubwa na Tatizo la fistula ni:-
- Mgonjwa kushindwa kuzuia haja ndogo au kubwa muda mfupi baada ya kujifungua.
NAMNA YA KUZUIA FISTULA.
- Mama kuanza kuhudhulia kliniki mapema punde anapojihisi ni mjamzito ili kupata huduma zote muhimu kuhusu ujauzito wake.
- Mama kuanza kuhudhulia kliniki mapema punde anapojihisi ni mjamzito ili kupata huduma zote muhimu kuhusu ujauzito wake.
- Wahi kituo cha afya uonapo dalili za tatizo.
KUMB...
- Fistula inatibika kwenye kituo cha afya, mpelwke mjamzito kituo cha afya kilicho karibu uonapo dalili za uzazi pingamizi.
- Jamii yote inawajibu wa kumpeleka mjamzito kituo cha afya kuepusha tatizo la fistula pamoja na matatizo mengine ili apate tiba na huduma bora.
- WELL. -

Post a Comment