Slider


Sports

Life & style

Comments

Fashion

Technology

Blogroll

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Vivamus leo ante, consectetur sit amet vulputate vel, dapibus sit amet lectus. Etiam varius dui eget lorem elementum eget mattis sapien interdum. In hac habitasse platea dictumst.

Matunda|Viungo Muhimu KWA Afya ya Moyo na mwili kwa ujumla

PARACHICHI - AVOCADO

• Husawazisha na mzunguko wa damu hivyo Kuzuia tatizo presha kupanda
• Huondoa rehemu (Mafuta mabaya) yanayoweza kuharibu ufanyaji kazi wa moyo.
• Huondoa uvimbe (inflammation)
• Huimalisha afya ya macho
• Linaviondoa Sumu (hutoa sumu mwilini)
• Lina nyuzinyuzi Husaidia watu wenye matatizo ya tumbo na kuipata choo
• Husaidia Kuzuia kupata Saratani (kansa)
• Husaidia kupunguza uzito kwa wenye changamoto ya uzito mkubwa.
• Huboresha afya ya ngozi na kufanya ngozi kuwa yenye afya na nyororo.
• Husaidia Kuimalisha mfumo wa Uzazi 

KAROTI ( CARROT)
• Hurekebisha shinikizo la juu la damu kwa wenye presha 
•Huzuia shinikizo la juu la damu kwa sababu ya kuwepo kwa kiasi kingi cha potassium.
•Huzuia kiharusi (stroke)
• Huimalisha kinga ya mwili (boost) kwa sababu ya kuwepo kwa Vitamini A,B6 na C huchangia Kuimalisha kinga ya mwili
• Huzuia uwezekano wa kupata Saratani kwa sababu ya uwepo  wa polyacetylenes, beta carotene, na lutein ambavyo hupambana Kuzuia Saratani
• Huimalisha afya ya macho kwa sababu ya uwepo wa Vitamini A Husaidia Kuimalisha macho kuona vizuri.
• Huboresha afya ya ngozi 
• Hurekebisha kiasi cha sukari kwa wenye shida ya kisukari
• Husaidia Ini kufanya kazi vizuri

MACHUNGWA (ORANGES)
• Kuna  kiasi kingi cha potassium Husaidia Kuzuia shinikizo la juu la damu na kuwa Wale wenye shinikizo la damu tayari Husaidia kushusha presha.
• Huzuia tatizo la kuishiwa damu mara kwa mara (fight against anaemia)
• Huimalisha kinga ya mwili
• Huboresha afya ya ngozi
• Husaidia Kuimalisha afya figo

STRAWBERRY
• Husaidia Kuimalisha afya ya Moyo
• Husaidia kupunguza shinikizo la juu la damu
• Huimalisha mzunguko wa damu
• Husaidia uwezekano wa kupata Saratani
• Husaidia kutatua na Kuzuia tatizo la choo kuwa kigumu (kukosa choo)

CHOCOLATE
• Hupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya Moyo
• Hupunguza uwezekano wa kupata shinikizo la juu la damu
• Husaidia kupunguza kiasi cha sukari na uwezekano wa kupata kisukari
• Hupunguza uwezekano wa kupata kiharusi (stroke)

APPLE
• Hupunguza shinikizo la juu la damu
• Husaidia kupunguza uzito
• Huboresha afya ya ubongo
•Hupunguza uwezekano wa kupata aina ya pili ya kisukari
• Huzuia uwezekano wa kupata Saratani
                            +255(0)676127127

Post a Comment

Translate