Slider


Sports

Life & style

Comments

Fashion

Technology

Blogroll

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Vivamus leo ante, consectetur sit amet vulputate vel, dapibus sit amet lectus. Etiam varius dui eget lorem elementum eget mattis sapien interdum. In hac habitasse platea dictumst.

USING'OE JINO TENA. (SULUHISHO LIMEPATIKANA) +255 684127127-+255743127127

JE UMEWAHI JIULIZA MASWALI HAYA?:
1.  Kwa nini meno yanakuuma wakati mwanzo ulikuwa hauumwi meno?
2. Kwa nini unang”oa jino linahamia jino jingine tena kuuma na lenyewe unalitoa tena?
3. Kwa nini kinywa chako hata ukipiga mswaki bado unatoa harufu mbaya?
4. kwa nini ukipiga mswaki fizi zinatoa damu?

Meno ni muunganiko wa Mfupa wa Jino, Fizi na Mishipa.

Mara nyingi watu wengi huwa pale wanapoumwa na jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino kuling’oa jambo ambalo si kweli.

Tambua kuwa unapokwenda kung’oa jino unang’oa Mfupa sio Fizi wala Mishipa ambayo hakuna madhara kwa bakteria anaesababisha jino kuuma.

Fahamu kuwa kwenye kinywa cha Binadamu kuna bakteria wanaoishi mdomoni wanaoitwa NORMAL FROLA. Bakteria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid unaolainisha chakula kwa haraka mdomoni na ndio kazi yao. Lakini wanasababisha ugonjwa unaoitwa GINGIVAITES, Ugonjwa huu husababisha fizi kutoa damu haswa unapopiga mswaki, lakini ukiachwa ukawa sugu unasababisha ugonjwa wake kuwa sugu na hujulikana kama MACHODIFECE, Ugonjwa huu husababisha na hufanya meno kuoza, ama kutoboka kutokana na bakteria AFINOTOBALASAD ndio wanaosababisha na huwa wanaingia ndani kwenye fizi kwa ajili ya kula damu. Hapo ndipo mtu hupatwa na tatizo la kuumwa na jino au meno.

ADUI WA MENO YETU NI FLUORIDE.
Angalia dawa ya meno unayotumia kama imeandikwa fluoride na kushauri itupe kwani hata kama kwa sasa uko safi kwenye kinywa baadae utaingia tena kwenye changamoto ya meno na kinywa.

FLUORIDE INAATHIRI VIPI MENO NA AFYA KWA KWA UJUMLA.
Shirika la afya duniani [WHO] lilipendekeza kiwango cha fluoride kwenye majiya kunywa kiwe (0.5_1) mg/lite kutokana na madhara makubwa yanayotokana na fluoride, mataifa yaliyo endelea yanafanya mpango wa kuiondoa kabisa fluoride katika maji ya kunywa (soma daktari Dean burk, mgunduzi wabiotin amefanya kazi national institute of cancer huko marekani kwa miaka zaidi ya thelathini) fluoride iliyowekwa kwenye dawa ya meno imewekwa kwa kiwango kikubwa sana ndio maana wameandika kwamba:

- Usimeze ukimeza kwa bahati mbaya muone daktari wa meno. (Jiulize umemeza mara nagapi)
- Usibakize masalia ya meno kwenye kinywa
- Mtoto chini ya umri miaka 6 asimamiwe na mtu mzima ili asimeze wala kuila
- Swaki mara mbili hadi mara tatu kwa siku
- Baada ya miezi 3 badilisha mswaki

HAYA NDIO MADHARA YA UTUMIAJI WA FLUORIDE

UBONGO
Ungunduzi wa kina wa kisayansi umegundua kuwa utumiaji wa fluoride unapunguza IQ (intelligence quotient) kwa watoto wadogo ambao bado ubongo wao  haujakomaa.

MENO
Kiwango kikubwa cha fluoride hudhoofisha meno na kupelekea Kurusu mashambulizi wa wadudu kwenye kinywa ndo maana unapotoa jino hao wadudu huhamia tena jino linguine.

THYROID.
Fluoride husababisha watu kushindwa  kutengeza thyroid hormone kwani huzuia iodine isijishike kwenye kemikali inayotumika kutengeneza thyroxine hormone .mwishowe tunaishia kupata goita na matatizo mengine yatokanayo na upungufu wa vitamin hii.

FIGO.
Wenye matatizo ya figo wanashauriwa wasitumie vitu vyenye fluoride kabisa inamadhara kwa figo zetu (fluoride induced nepharotoxicity)

MIFUPA.
Kiwango kikubwa cha fluoride kinadhoofisha mifupa na kupelekea watu wengi kuvunjika kirahiisi haswa kwenye kiwiko na kwenye hips

CANCER.
Fluoride ni chanzo kikubwa sana cha kansa kwenye mwili wa binadamu inapojikusanya kwa muda mrefu na hupelekea hata kupata madonda ya tumbo meno kuharibikan.k (Dr Dean USA).

TIBA YA MENO NA KINYWA.

Kuna dawa ya meno ambayo imetengenezwa kwa ubora Zaidi na kufanyiwa tafiti kubwa sana inafanya kazi zifuatazo:
- Haina fluoride
- Inashambulia mdudu anaeharibu jino au kinywa
- Inaruhusiwa kumenzwa kama tumbo linakusumbua kuuma
- Ukiungua moto au ukajikata au jeraha la aina yoyote ile ikijipaka unapona bila kovu.
- Inaimarisha fizi za meno zisitoe harufu mbaya
Na unaweza kuitumia kama huduma ya kwanza hadi kwenye fungasi na mapunye.

Je ungependa kuipata kwa ajili ya kuboresha ubora wa kinywa chako na kuondokana na maumivu ya jino?

Tunaweza kuwasiliana kwa msaada na ushauri wa jinsi ya kuboresha afya yako ya MENO NA KINYWA

Mawasiliano .
WHATSAPP / CALL /SMS +255 684127127
CALL |SMS +255 743127127

NB.
1. KUNG'OA JINO SIYO DAWA BALI NI KUKIDHI HASIRA ZAKO
2. KUNG'OA JINO SIO DAWA BALI KUYAPA NAFASI YA KUHARIBIKA MENGINE
                          
                           BY: + WELL

Post a Comment

Translate