Tatizo la kupata ganzi Mara kwa Mara kina weza husababishwa au lonaweza kuwa ni ishara ya tatizo flani ndani ya mwili.
Je ni vitu gani vinaweza sababisha mtu kupata ganzi (miguuni na mikononi)
• Kisukari hasa Aina ya pili.
• Matatizo ya uti wa mgongo.
• Matumizi ya dawa flani za kutibu magonjwa flani
• Matatizo ya moyo
• Kuvimba kwa mishipa ya damu (Vesculitis)
• Kuumia /Kuvunjika baada ya kupata ajari na kuvunjika kwa sehemu ya uti wa mgongo.
• Shida kwenye ubongo (kama saratani)
• kiharusi
• Tatizo la Ini kwa muda mrefu (sclerosis)
• Upungyfu wa vitamini B12
• Matumizi ya dawa za kutibu saratani (kansa)
• Matumizi ya Pombe kupindukia
• Matatizo ya mikunjio (joint) kuvumba ya Mara kwa Mara ambayo yankuja kusababisha mrundikano wa (myloid) kwenye mishipa au nyama.
• Mgandamizo mkubwa wa mishipa ya fahamu na mishipa ya damu.
• Saratani ya damu ( Kansa ya damu)
• Kuwashwa, kuvimba kwa maungio na mikunjo na kupata joto (lyme disease)
• Kuharibika kwa neva za fahamu.
• Sumu Kali itokanayo na dawa flani
• Matatizo ya goita
• Msongo mkubwa wa mawazo unaopelekea mgandamizo mkubwa nevu pamoja na mishipa ya damu na kupasuka.
• Umri mkubwa (mzee).

Matibabu inategemea na chanzo cha tatizo kama nilivyotaja hapo juu.
• Zingatia Ulaji salama kwa kula mlo kamili mwenye virutubisho vyote muhimu mwilini
• Tibu Matatizo yanayoweza sababisha shida hiyo
• Fanya mazoezi Mara kwa mara
• Chunguza afya Mara kwa Mara
• Muone daktari wa tatizo ulilonalo mweleze kama kuna umuhimu wa kubadilisha dawa kama chanzo cha tatizo kikiwa ni dawa.
• Dawa za kutuliza na kupunguza uganzi.

kwa Sasa Nimechomwa sindano moja ya Maralia leo Ni siku kama Ya Tisa lakini nahisi Ganzi kwenye tako nilipochomwa Sindano mpaka Leo sijui Tatizo linaweza kua Ni nini hapo
ReplyDelete