Slider


Sports

Life & style

Comments

Fashion

Technology

Blogroll

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Vivamus leo ante, consectetur sit amet vulputate vel, dapibus sit amet lectus. Etiam varius dui eget lorem elementum eget mattis sapien interdum. In hac habitasse platea dictumst.

VIDONDA VYA TUMBO 


VIDONDA VYA TUMBO Ni ugonjwa Unaweza mkumba kila mmoja wa jinsia yoyote.
  Ni ugonjwa unaoshambulia mfumo wa mmeng'enyo wa chaka kwa ujumla.
  



  CHANZO CHA TATIZO
   Bakteria H.pylori huishi kwenye kuta za utumbo na hutengeneza vimeng'enya 'Enzyme' iitwayo 'Urease' inayopunguza athari za asidi kwenye utumbo.
Utumbo hutaka kufidia kiasi cha asidi kinachopotea kwa kutengeneza zaidi na husababisha kukwangua kuta za utumbo.
    Non-Steroidal Anti Inflammantory Drugs 'NSAIDs' ni dawa za kutuliza maumivu ya kichwa, maumivu ya hedhi, k



ushusha homa na kuondoa maumivu madogo madogo mfano Aspirin, Ibuprofen,Diclofenac & Meloxicam. Dawa hizi hupunguza uwezo wa kuta za tumbo na kufanya uwe rahisi kushambuliwa na asidi za tumboni hivyo kusababisha vidonda.
      Chembe za urithi 'Genetics': Idadi kubwa ya watu wenye vidonda vya tumbo wana ndugu wa karibu wenye vidonda pia, hii huwafanya wataalamu kufikiria kuwa chembe za urithi zinahusika pia.
     Uvutaji sigara/tumbaku: Wavutaji wa sigara wako katika hatari ya kupata vidonda vya tumbo ikilinganishwa na wasiovuta.
     Matumizi ya pombe/vilevi: Walevi wako katika hatari zaidi ya kupata vidonda vya tumbo ikilinganishwa na wasiotumia vileo/pombe.
     Msongo wa mawazo 'Mental stress': Msongo wa mawazo hausababishi vidonda moja kwa moja ila hufanya hali kuwa mbaya zaidi kwa wagonjwa.

   AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO 
Kuna Aina mbili za vidonda vya Tumbo ni Vidonda vya Tumbo vinavyohusisha 
      TUMBO (Gastric Ulcer)
          Maumivu ya tumbo hasa baada ya kumaliza kula
          Kichefuchefu na kutapika
          Maumivu ya tumbo yanayozunguka mpaka mgongoni
          Kujisaidia haja kubwa yenye rangi nyeusi

      UTUMBO MDOGO (Duodenal Ulcer)
          Maumivu ya tumbo baada ya kuchelewa kula na hupungua baada ya kupata chakula
          Kutapika damu
          Kichefuchefu na kutapika
          
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Hata hivyo ni mara chache sana mtu kuugua vidonda vya tumbo na kutoonyesha dalili.
Zifuatazo ni dalili zinazotokea kwa wagojwa wengi:-
    Maumivu ya tumbo na huwa makali zaidi pale asidi inapopita juu ya vidonda.
Maumivu yanaweza anzia kwenye kitovu na kupanda juu hadi katikati ya kifua 'Epigastric pain'
Maumivu yanaweza kuongezeka unapokuwa njaa. Pia yanaweza kuwa makali wakati wa usiku kwenye mida ya kulala, yanayoweza kupunguzwa kwa kula chakula kidogo.


     Kushindwa kumeza vizuri chakula.
    Chakula kukwama kama kinataka kurudi mdomoni.
    Vibaya baada ya kula.
    Kupungua uzito.
    Kukosa hamu ya kula.

DALILI HATARI
     Kutapika damu.
     Kupata choo kikubwa cheusi au chenye damu nzito.
     Kichefuchefu & kutapika.

     JINSI VIDONDA HUGUNDULIWA:-
Maelezo ya mgonjwa juu ya dalili alizonazo humsaidia daktari kuhisi kinachomsumbua mteka wake ni vidonda vya tumbo.
Ili kuthibitisha vidonda vipimo vifuatavyo hufanyika :-
Kupima damu (Blood test)
Kuangalia bakteria aina ya H.pylori na kama mgonjwa amekuwa akitumia antibayotiki au dawa za vidonda Proton Pump Inhibitors 'PPIs' mfano Omeprazole vipimo vyake vya damu vitaonyesha majibu hasi 'Negative'
Kupima pumzi 'Breath test'
Mgonjwa hupewa anywe maji yenye atomi za kaboni zinazoweza kuvunjika, hii hufanya bakteria H.pylori kuvunjika na baada ya lisaa mgonjwa hutoa pumzi kwenye chombo kilichofunikwa kama mgonjwa ameambukizwa sampuli ya pumzi itaonyesha vipande vya kaboni kwenye kabonidioksaidi.
   Kupima  choo (stool)


MATIBABU  
    Yanahusisha  matumizi ya dawa za hospitali na matumizi ya dawa zisizo za hospitali pamoja na ushauri 
   Wasiliana nasi kwa 
       WhatsApp No 0684127127

Post a Comment

Translate