Slider


Sports

Life & style

Comments

Fashion

Technology

Blogroll

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Vivamus leo ante, consectetur sit amet vulputate vel, dapibus sit amet lectus. Etiam varius dui eget lorem elementum eget mattis sapien interdum. In hac habitasse platea dictumst.

NI DALILI ZIPI ZA WEZA KUWA HATARI KWA MAMA BAADA YA KUJIFUNGUA


  • Kuona maruwiruwi/kizunguzungu
  • Homa
  • Kupoteza fahamu
  • Kupata degedege
  • Kutokwa na damu sehemu za siri
  • Kutokwa  na uchafu /harufu/usaha sehemu za siri
  • Matiti kujaa/kuvimba/kuuma
  • Kupata maumivu makali ya tumbo
  • Kutoka Majimaji/Usaha kwenye mshono

Mama uonapo dalili hizi tembelea kituo cha afya kwa Uchunguzi na Tiba


 “AFYA ONLINE - MKOMBOZI WAKO”

 Tuwasiliane kwa WhatsApp 0684127127

Post a Comment

Translate